JESSICA: MADARASA YA UONGOZI KWA VIJANA YAMEZAA VIONGOZI


Na Mwandishi Wetu-Nifahamishe News

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM TAIFA Ndg. Jessica Mshama amesema kuwa Madarasa ya uongozi yanayoendeshwa na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) yamekuwa chachu ya kuoka Viongozi wapya ambao baadhi yao wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali za kiuongozi.

Mshama aliyasema hayo wakati wa mahojiano na Watangazi wa Kipindi cha Sentro cha Clouds Tv kilichofanyika Jana 08 Julai, 2025 katika studio za Clouds Tv Jijini Dar es Salaam.


Vijana Tunasema

OKTOBA TUNATIKI 

Chapisha Maoni

0 Maoni