Na Pilly Kigome- Nifahamishe News
WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) imewajengea uwezo waandishi wa habari wa mitandaoni jinsi ya kuripoti taarifa za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini kote.
Mbali na kuwajengea uwezo TAMISEMI imewakabidhi waandishi hao mwongozo wa elimu ya mpiga kura na kanuni za uchaguzi wa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa katika mamlaka za Wilaya na Miji.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dk.Grace Magembe akizungumza leo na waandishi hao Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Serikali imeona wawaengee uwezo kundi hilo kwani imeona ndilo wanahabari ambao wanauwezo mkubwa wa kuuhabarisha umma ndani ya dakika chache na kuwafikia watu wengi kwa muda mchache kwakuwa watu wengi wanaangalia habari kupitia vyombo vya mitandao ya kijamii.
“Tamisemi tumeona mbali tukaona ni lazima tuwafikie tuzungumze nanyi tuwajengee uwezo wa kuripoti uchaguzi huu kwani nyinyi ni wadau muhimu sana kwa ukuaji wa teknolojia na upashaji habari”amesema
MWENYEKITI WA JUMIKITA SHABANI MATWEBE AKIPOKEA KANUNI KUTOKA KWA DKT.GRAÇE MAGEMBEDk.Magembe amewaomba wandishi hao kutumia kalamu zao vyema kwa kuielimisha jamii kuripoti taarifa za uchaguzi kwa weledi bila upendeleo na zitakazoenda kuchochea uzalendo, mshikamano na umoja nchini.
Amewataka kutoa taarifa zitakazojikita kuunganisha Watanzania bila kupoteza amani na kuwatenganisha kwa uchochezi wa taarifa zinazoleta taharuki na kuwataka wazingatie weledi wa kazi zao.
Kwaupande wake Afisa Mwanasheria Mwandamzi TAMISEMI, Mihayo Kadete amewataka waandishi hao kuzingatia kanuni, miongozo na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Amesema TAMISEMI ndio anatambulika kwa sasa kusimamia chaguzi zote hadi pale itakapatikana sheria mpya na msimamizi mpya hivyo wamehakikisha kila kundi linalopatikana katika jamii ipige kura kwa uhuru ikiwemo makundi maalumu kama walemavu kuandaliwa mazingira rafiki ili mradi kila mmoja apige kura na kuchagua kongozi anayemtaka kwakuwa ni ni haki ya kila mtanzania.
Amefafanua katika miongozi ya kuwapata viongozi TAMISEMi iliainisha sifa za wagombea wanaotakiwa kugombea uongozi ni lazima mtu awe na shughuli maalum za kumuingizia kipato kwani uongozi huo ni wa kujitolea kuepusha rushwa na ghasia apatapo madaraka hayo.
Akijibu swali la mmoja wa mwandishi alilotakiwa kujibu ni kwanini wajasiriamali wameenguliwa katika kinyang’anyiro hicho amesema wale wote walioenguliwa kwa kuwa walisema ni wajasiriamali wana haki za msingi hivyo kama kuna yeyote amenguliwa ana haki ya kuleta pingamizi kupinga utenguzi huo.
Na Pilly Kigome
WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) imewajengea uwezo waandishi wa habari wa mitandaoni jinsi ya kuripoti taarifa za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini kote.
Mbali na kuwajengea uwezo TAMISEMI imewakabidhi waandishi hao mwongozo wa elimu ya mpiga kura na kanuni za uchaguzi wa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa katika mamlaka za Wilaya na Miji.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dk.Grace Magembe akizungumza leo na waandishi hao Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Serikali imeona wawaengee uwezo kundi hilo kwani imeona ndilo wanahabari ambao wanauwezo mkubwa wa kuuhabarisha umma ndani ya dakika chache na kuwafikia watu wengi kwa muda mchache kwakuwa watu wengi wanaangalia habari kupitia vyombo vya mitandao ya kijamii.
“Tamisemi tumeona mbali tukaona ni lazima tuwafikie tuzungumze nanyi tuwajengee uwezo wa kuripoti uchaguzi huu kwani nyinyi ni wadau muhimu sana kwa ukuaji wa teknolojia na upashaji habari”amesema
Dk.Magembe amewaomba wandishi hao kutumia kalamu zao vyema kwa kuielimisha jamii kuripoti taarifa za uchaguzi kwa weledi bila upendeleo na zitakazoenda kuchochea uzalendo, mshikamano na umoja nchini.
Amewataka kutoa taarifa zitakazojikita kuunganisha Watanzania bila kupoteza amani na kuwatenganisha kwa uchochezi wa taarifa zinazoleta taharuki kwa kuzingatia weledi
wakazi zao.
Kwaupande wake Afisa Mwanasheria Mwandamzi TAMISEMI, Mihayo Kadete amewataka waandishi hao kuzingatia kanuni, miongozo na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Amesema TAMISEMI ndio anatambulika kwa sasa kusimamia chaguzi zote hadi pale itakapatikana sheria mpya na msimamizi mpya hivyo wamehakikisha kila kundi linalopatikana katika jamii ipige kura kwa uhuru ikiwemo makundi maalumu kama walemavu kuandaliwa mazingira rafiki ili mradi kila mmoja apige kura na kuchagua kongozi anayemtaka kwakuwa ni ni haki ya kila mtanzania.
Amefafanua katika miongozi ya kuwapata viongozi TAMISEMi iliainisha sifa za wagombea wanaotakiwa kugombea uongozi ni lazima mtu awe na shughuli maalum za kumuingizia kipato kwani uongozi huo ni wa kujitolea kuepusha rushwa na ghasia apatapo madaraka hayo.
Akijibu swali la mmoja wa mwandishi alilotakiwa kujibu ni kwanini wajasiriamali wameenguliwa katika kinyang’anyiro hicho amesema wale wote walioenguliwa kwa kuwa walisema ni wajasiriamali wana haki za msingi hivyo kama kuna yeyote amenguliwa ana haki ya kuleta pingamizi kupinga utenguzi huo.
Na Pilly Kigome- Nifahamishe News Blog
WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) imewajengea uwezo waandishi wa habari wa mitandaoni jinsi ya kuripoti taarifa za uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini kote.
Mbali na kuwajengea uwezo TAMISEMI imewakabidhi waandishi hao mwongozo wa elimu ya mpiga kura na kanuni za uchaguzi wa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa katika mamlaka za Wilaya na Miji.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dk.Grace Magembe akizungumza leo na waandishi hao Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Serikali imeona wawaengee uwezo kundi hilo kwani imeona ndilo wanahabari ambao wanauwezo mkubwa wa kuuhabarisha umma ndani ya dakika chache na kuwafikia watu wengi kwa muda mchache kwakuwa watu wengi wanaangalia habari kupitia vyombo vya mitandao ya kijamii.
“Tamisemi tumeona mbali tukaona ni lazima tuwafikie tuzungumze nanyi tuwajengee uwezo wa kuripoti uchaguzi huu kwani nyinyi ni wadau muhimu sana kwa ukuaji wa teknolojia na upashaji habari”amesema
Dk.Magembe amewaomba wandishi hao kutumia kalamu zao vyema kwa kuielimisha jamii kuripoti taarifa za uchaguzi kwa weledi bila upendeleo na zitakazoenda kuchochea uzalendo, mshikamano na umoja nchini.
Amewataka kutoa taarifa zitakazojikita kuunganisha Watanzania bila kupoteza amani na kuwatenganisha kwa uchochezi wa taarifa zinazoleta taharuki na kuwataka kuzingatia weledi wa kazi zao.

2

0 Maoni